KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI ATEMBELEA SHIRIKA LA TAIFA LA UTANGAZAJI (TBC)Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba akimkabizi kitabu ta wageni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye alipotembelea ofisi za Shirika hilo mikocheni mapema leo asubuhi. PICHA ZOTE NA FC GODFREY PETER)
 Kamishna Jenerali Thobias Andengenye (wa kwanza kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) wa kwanza kulia ni Mkurugenzi mkuu wa TBC Dk. Ayoub Rioba na wa pili ni Kaimu Kamishna wa Usalama dhidi ya moto Fikiri Salla .
 Mkurugenzi wa Matukio wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Bi Martha Swai (wa kwanza kulia) akitoa maelezo jinsi ya upokeaji wa habari za matukio mbalimbali kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (katikati) alipotembelea ofisi hizo mapema leo asubuhi (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi mkuu wa Shirika hilo Dk. Ayoub Rioba .
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  Thobias  Andengenye aliyesimama mbele, akimsomea taarifa ya Jeshi hilo Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba alipotembelea ofisi za Shirika hilo mapema leo asubuhi
 Kikao kikiendelea
 Kamishna Jenerali Thobias Andengenye (katikati) akipokea maelezo jinsi ya chumba cha matangazo kinavyofanya kazi (Studio) kutoka kwa Mtangazaji Bi Anna Mwasioke hayupo pichani, (kushoto) ni Mkurugenzi mkuu wa TBC Taifa Dk. Ayoub Rioba.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba akimtembeza sehemu mbalimbali mgeni wake Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye alipotembelea ofisi za Shirika hilo mikocheni mapema leo asubuhi.
Kamishna Jenerali Thobias Andengenye (watatu kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mtangazaji Asha Haji (katikati) alipotembelea chumba cha habari cha Shirika hilo, wa kwanza kushoto ni msemaji wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi, akifuatiwa na Mkurugenzi mkuu wa TBC Dk. Ayoub Rioba.

 Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba (aliyesimama mbele) akiwatambulisha wakuu wa vitengo na wafanyakazi wa Shirika hilo, kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye aliyekaa katikati mbele alipotembelea shirika hilo mapema leo.
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) Dk. Ayoub Rioba akimtembeza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye alipotembelea ofisi za Shirika hilo mikocheni mapema leo asubuhi.
 Kaimu Kamishna wa Usalama dhidi ya moto Fikiri Salla (wa kwanza kushoto walio kaa) akitoa maelezo jinsi ya kutumia kizimia moto cha awali (Fire Extinguisher) uliopo kwenye gari la kurushia matangazo (OB Van) 
Kamishna Jenerali Thobias Andengenye (katikati) akipokea maelezo jinsi ya chumba cha matangazo kinavyofanya kazi (Studio) kutoka kwa Mtangazaji Bi Anna Mwasioke hayupo pichani, akiwa na  Mkurugenzi mkuu wa TBC Taifa Dk. Ayoub Rioba.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!