MPANGO MKAKATI NA MRADI WA MABORESHO YA HUDUMA ZA MAHAKAMA YA TANZANIA WAZINDULIWA LEO.


 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiondoka baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo la Hakimu Mkazi Mahakama ya Pwani na Mahakama ya wilaya ya Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird (kulia kwake) na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (kulia) baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo la Hakimu Mkazi Mahakama ya Pwani na Mahakama ya wilaya ya Kibaha Septemba 21,2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania Septemba 21, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania Septemba 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge Dkt, Tulia Ackson baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania Septemba 21, 2016. 


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo akizungumza katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.


Mkurugenzi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird akizungumza katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016. 
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza katika uzinduzi katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaidiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othaman kukata utepe wakati alipozindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania mjini Kibaha, Septemba 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua mjini Kibaha, Septemba 21, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Dkt. Hassison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande na Naibu Spika wa Bunge, Dkt Ackson Tulia.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa Nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird kitabu cha Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha Sptemba 21, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI