SHINDANO LA MISS ILALA

Mgeni Rasmi katika Mashindano ya Miss Ilala 2016, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akingumza na kutoa nasaha zake kwa Warembo wao ambao pia ni Mabalozi wazuri wa utunzaji wa Mazingira katika Wilaya Ilala. Mh. Mjema amewapongeza Warembo hao kwa kujitoa kwao katika shunguli mbali mbali za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wasiojiweza, amesema huo ni mfano wa kuigwa na wengine pia. Alieibuka Mshindi na kuwa Miss Ilala 2016, ni Judith Kabete (13), Mshindi wa Pili ni Nuru Kondo (9) pamoja na Grace Marikita (4) alieshika nafasi ya tatu.
 Baadhi wa Warembo hao wakiwa na bango la kuonyesha juhudi zao za kupiga vita uchafuzi wa Mazingira katika Wilaya ya Ilala.
 Warembo wakitoa bururani ya ufunguzi.
 Baandi ya Warembo wakipita na mavazi ya Ubunifu.
 Mshehereshani wa Mashindano hayo alikuwa ni MC Luvanda.
 Watembo katika Vazi la Ufukweni.
 Majaji wakitilia kwa makini.
Wageni waalikwa Meza kuu.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Ruby akitoa burudani.
 Jaji Bawazir akitangaza Warembo walioingia katika hatua ya tano bora.
 Warembo tano bora wa Miss Ilala 2016.

Warembo wa zamani wa Miss Ilala wakiongoza na Mrembo Jihan aliekabidhi taji hilo.
 
 
 Watazamaji.

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND