TTCL yatoa huduma ya intaneti bure mkutano wa wanasayansi Dar.


Mmoja wa maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akimwelezea mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.Mmoja wa maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akimwelezea mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.Timu ya mauzo ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ikiwa katika banda lao nje ya mkutano wa Tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa mpya za TTCL.Baadhi ya wateja (kushoto) wakipata huduma katika banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) lililokuwa nje ya mkutano wa Tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakishiriki katika mkutano huo. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakiwa katika banda la maonesho ya bidhaa mpya za TTCL wakipokea vipeperushi vya kampuni ya TTCL vinavyoelezea bidhaa na huduma zao mpya.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.