WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA YA KUSINI.





Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akikabidhiwa jezi yanye maneno Hapa Kazi Tu iliyotolewa na wawekezaji kutoka Korea ya Kusini waliokuja nchini kuona fursa mbalimbali za uwekezaji. Awali Waziri Mkuu alizungumza na wawekezaji hao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 27, 2016. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa makampuni mbalimbali kutoka Korea ya Kusini ambao wamekuja Tanzania kuona fursa mbalimbali za uwekezaji. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 27, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa makampuni mbalimbali ya Korea Kusini ambao wapo nchini kuona fursa mbalimbali za uwekezaji nchini. Picha hiyo ilitanguliwa na mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 27. Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mbula.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.