YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI


SIMU.tv:  Waziri  wa afya Ummy Mwalimu ametoa wito kwa mashirika binafsi nchini kutojihusisha na masuala ya kisiasa;http://simu.tv/yvbYf0j

SIMU.tv:  Waziri mkuu Kassim Majaliwa awataka wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza mkoani Dodoma;https://youtu.be/nXRL4rPf8dk

SIMU.tv:  Wafanyakazi wa taasisi za umma wametakiwa kuwa na tabia ya kupima afya zao ili kujua hali za afya zao;https://youtu.be/8_RWYaeQWf4

SIMU.tv:  Mkoa wa Dar es Salaam wabaini kaya masikini hewa 609 katika mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na TASAF;https://youtu.be/jNJrffaeiNw

SIMU.tv:  Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa watano wa ujambazi; https://youtu.be/62XMXAkXwXc

SIMU.tv:  Zaidi ya watanzania 4000 watanufaika na ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania;https://youtu.be/7bSWNQlkZWM

SIMU.tv:  Wakuu wa majeshi ya polisi kusini mwa bara la Afrika kuhakikisha wanakabiliana na vitendo vya kihalifu mipakani;https://youtu.be/KrHIV3LR6og

SIMU.tv:  Waziri mkuu Kassim Majaliwa apokea msaada wa kiasi cha shilingi mlioni 121 kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera ;https://youtu.be/4a5uN5Y4jqs

SIMU.tv:  Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA yaifunguia radio five ya jijini Arusha kwa muda wa miezi mitatu;https://youtu.be/as3TOD1ukgU

SIMU.tv:  Mahakama ya Rufaa Tanzania yamhukumu kunyongwa hadi kufa  aliyekuwa mkuu wa upelelezi  wa jeshi la polisi wilaya ya Kinondoni, Christopher Bageni kwa tuhuma za mauji ya wafanyabishara watatu na dereva teksi; https://youtu.be/ZlfiZj1blcI

SIMU.tv:  Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu mwenendo wa serikali ya awamu ya tano;https://youtu.be/U4ppx4zJpYc

SIMU.tv:  Zaidi ya shilingi bilioni 1 zimepatikana katika harambee iliyolenga kukusanya pesa kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera; https://youtu.be/VUxNklhrk-k
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI