4x4

AJALI YA DODOMA ILIYOPOTEZA MAISHA YA SALOME KIWAYA


Ajali hii imetokea leo katika eneo la Emaus, Mkoani Dodoma ambapo imehusisha gari kubwa mbili na moja dogo aina ya Toyota Noah. Inadaiwa kuwa Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuokoa majeruhi.
Post a Comment