RAIS KABILA AMALIZA ZIARA AREJEA KWAO LEO

 Rais wa DRC CONGO, Joseph Kabila akiwaaga watanzania alipokuwa akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, baada ya kumaliza ziara ya siku tatu nchini. Uwanja wa Ndege aliagwa na Rais John Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na viongonzi wengin. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Ndege alyopanda ikipaa
 Kikundi cha Mount Usambara kikitumbuiza kwa matarumbeta wakati wa kumuaga Rais Kabila
 Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa katika hafla kumuaga Rais Kabila
 Rais Joseph Kabila wa DRC Congo na mwenyeji wake, Rais John Magufuli wakiangalia ngoma iliyokuwa inatumbuizwa na Kikundi cha Sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), alipokuwa anaondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku tatu nchini

 Rais Magufuli na Rais Kabila wakipigiwa wimbo wa Taifa
 Wananchi wakishangilia wakati wa kumuaga Rais Kabila
 Viongozi wakiondoka baada ya Rais Kabila kuondoka
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akiagana na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA