TAASISI YA OCEAN ROAD YAFANYA MATEMBEZI YA HISANI KUCHANGIA SARATANI YA MATITI JIJINI DAR


Mmoja ya wagonjwa ambaye amepona saratani ya matiti akitoa ushuhuda mbele ya wageni.
 Askari wakiongoza matembezi ya hisani ya kuhamasisha uchunguzi wa saratani ya matiti yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
TAASISI ya Saratani ya Hospital ya Ocean Road leo imefanya matembezi ya hisani kwa lengo la Kuhamasisha na kuchangia zaidi ya milioni 120 zinazohitajika kwa ajili ya kununua vifaa tiba vya chemotherapy.

Matembezi hayo yalianzia Hospitali ya Ocean road na kumalizika hapo hapo huku wakizunguka moja ya barabara za jiji la Dar es Salaam huku Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamis Kigwangala akiwa ni mgeni rasmi.
Matembezi ya hisani ya kuhamasisha uchunguzi wa saratani ya matiti yaliyoandaliwa na Taasisi ya Saratani ya Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam
 Wananchi waliojitokeza katika mara baada ya kumaliza matembezi ya hisani ya kuhamasisha uchunguzi wa saratani ya matiti yaliyoandaliwa na Taasisi ya Saratani ya Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.