YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO October 25, 2016

SIMU.tv: Tazama mazungumzo kuhusu  matokeo ya sensa ya uzalishaji viwanda ya mwaka 2013 kutoka kwa mtakwimu mwandamisi ofisi ya taifa ya takwimu; https://youtu.be/GoAm-aXR49A

SIMU.tv: Korea ya kusini yaahidi kuzisaidia nchi za Afrika kuwekeza katika sekta ya viwanda na kilimo katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika; https://youtu.be/jfKbrmRYkpg

SIMU.tv: Rais msaatafu Benjamin Mkapa amesema dunia itaendelea kumkumbuka  waziri mkuu wa zamani wa Sweden Olf Palme kwa mchango wake wa ukombozi  wa nchi za Afrika; https://youtu.be/7cDRnR0zZdw

SIMU.tv: Wizara ya maliasili na utalii yaunda kikosi kazi kwa ajili ya kupambana na kutokomeza ujangili nchini; https://youtu.be/exBsq3xfzcw

SIMU.tv: Baadhi ya wanahabari wa mkoani Mbeya wakutana kujadili muswaada  wa sheria ya  huduma ya habari ya mwaka 2016; https://youtu.be/zbCaBZpCsSc

SIMU.tv: Wazazi mkoani Kagera wameshauriwa kuwapeleka haraka hospitali watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi; https://youtu.be/IaTb6Wrif3Q

SIMU.tv: Kiwanda cha Machinjio cha Arusha chatakiwa kuongeza thamani ya mazao yake; https://youtu.be/FahVW2VNbM4

SIMU.tv: Inaelezwa kuwa mto mbarali ulioko mkoani Mbeya uko hatarini kukauka kutokana na kukithiri kwa shughuli za binadamu katika mto huo; https://youtu.be/Yo_d6VqCrLI

SIMU.tv: Serikali yawataka watanzania kuendelea kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera; https://youtu.be/PRzLHZIDjo0

SIMU.tv: Rais msaatafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi awasihi waumini wa dini ya kiislamu nchini kutumia misikiti kufanya ibaada; https://youtu.be/W0jhuKhCBz8

SIMU.tv: Serikali ya Tanzania na Morocco zakubaliana kushirikiana katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo; https://youtu.be/tZ-SOXfMKAU

SIMU.tv: Rais Shein aipongeza wizara ya Kilimo Maliasili , Mifugo na Uvuvi kwa juhudi zake inazofanya; https://youtu.be/FwNEQhYVF-Q



0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA