VIDEO: Chelsea imevunja rekodi ya Spurs


on
Moja kati ya michezo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu usiku wa November 26 ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham Hotspurs katika uwanja wa Stamford Bridge, huu ni mchezo ambao Spurs walikuwa wanaingia Stamford Bridge wakiwa hawajakubali kufungwa hata mchezo mmoja msimu huu.
screen-shot-2016-11-26-at-11-11-27-pm
Msimamo wa EPL baada ya mechi za leo November 26 2016
Usiku huo wa November 26 Chelsea imevunja rekodi ya Spurs kwa kuifunga goli 2-1, magoli ya Chelsea yakifungwa na Pedro Rodriguez dakika ya 45 na Victor Mosesdakika ya 51, wakati goli pekee ya Totteham lilifungwa mapema kabisa mwanzo mwa mchezo dakika ya 11 na Christian Eriksen.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.