4x4

BEI YA UMEME YAPAA 2017

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi 9kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu marekebisho ya bei za umeme ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), yanayoanza kutekelezwa kesho Januari Mosi, 2017.Umeme umepanda kwa asilimia 8.5 kutoka sh. 242.34 kwa uniti hadi sh 262.02 kwa uniti.

Post a Comment