4x4

CHELSEA WALEEE, WAITWANGA WEST BROM 1-0 NA KUREJEA PALE JUU


Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia na Cesc Fabregas baada ya kufunga bao pekee dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Brom 1-0 mchana wa leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea inarejea kileleni kwa ushindi huo ikifikisha pointi 37, tatu zaidi ya Arsenal baada ya timu zote kucheza mechi 15
Post a Comment