4x4

PROF. MBARAWA: ANDAENI WATAALAMU WA KUTOSHA

 Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zakaria Mganilwa akitoa taarifa ya utendaji wa chuo hicho kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika uzinduzi wa Baraza la Chuo hicho, jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti mpya wa Baraza la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Profesa Bavon Nchomba akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika uzinduzi wa Baraza la Chuo hicho, jijini Dar es Salaam.
  
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wajumbe wa Baraza la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), katika uzinduzi wa Baraza jipya la Chuo hicho, jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika uzinduzi wa Baraza jipya la Chuo hicho, jijini Dar es Salaam.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Post a Comment