Goli la Oliver Giroud wa Arsenal lililozungumziwa sana mitandaoni Jan 1


Jumapili ya January 1 2017 Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 iliendelea kwa michezo miwili kuchezwa katika kiwanja wa cha Emirates na kiwanja cha Vicarage kinachotumiwa na Watford kama uwanja wao wa nyumbani.
Kwa upande wa uwanja wa Emirates Arsenal waliwakaribisha Crystal Palace kucheza nao mchezo wa 40 katika historia ya vilabu hivyo toka walipokutana kwa mara ya kwanza 27 Jan 1934 katika mchezo wa FA CupArsenal wakiwa nyumbani walipata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Oliver Giroud dakika ya 17 na Alex Iwobi dakika ya 56.
3bc2df4600000578-4080000-image-a-117_1483287827391
Goli la kwanza la Arsenal lililofungwa na mfaransa Oliver Giroud ndio lilikuwa kivutio na stori kubwa kwa wapenzi wa soka la England, kwani lilionekana kulijadili zaidi katika mitandao kutokana na style yake lilivyofungwa na kufananishwa na lile la Henrikh Mkhitaryan wa Man United alilofunga dhidi ya Sunderland.
screen-shot-2017-01-02-at-1-56-49-am
Msimamo wa EPL baada ya matokeo ya mechi za January 1 2017

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.