Kampuni ya magari ya Volvo yashindwa kuongoza kimauzo Sweden



Volvo imeongoza kimauzo kwa tarkibani nusu karne
Image captionVolvo imeongoza kimauzo kwa tarkibani nusu karne
Kwa mara ya kwanza ndani ya zaidi ya nusu karne, kampuni maarufu ya uuzaji magari nchini Sweden Volvo imeshindwa kuongoza kimauzo.
Kampuni hiyo ambayo kwa sasa inamilikiwa na kampuni ya kichina ya Zhejian Geely imeshindwa kutamba mbele ya kampuni nyingine ya Volkswagen Golf.
Mara ya mwisho Volvo kushindwa na kampuni la kigeni ilikuwa mwaka 1962, ambapo Volkswagen Beetle ilikuwa namba moja.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.