Rais Dk Shein atembelea karakana ya matrekta Mbweni


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanda cha  Matrekta Mbweni  Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,alipofayna ziara maalum ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji  mbali mbali wa serikali,[Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya  kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Dkt.Islam Seif Salum  wakati alipofika kutembelea Kiwanada cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji  mbali mbali  wa Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu  wa Kiwanda cha Matrekta Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) kuhusu mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake,  wakati alipofika kutembelea Kiwanda hicho leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na Viongozi mbali mbali  wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu  wa  Kiwanda cha  Matrekta Mbweni Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) walipofika kuangalia mashine   zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake,  wakati walipofika kutembelea Kiwanda hicho leo huko Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia)Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji  mbali mbali wa Serikali  wakati walipotembelea  Kiwanda cha  Matrekta Mbweni  Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(kushoto)Mkuu wa Kiwanda Nd,Mohamed Omar, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS