RAIS MAGUFULI AMWAPISHA KAIMU JAJI MKUU


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma alipomuapisha leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Hafla ya kumuapisha Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma alipomuapisha leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu Mstaafu Othmani Chande (kulia) na  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma

PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.