4x4

R.O.M.A Asepa na Kijiji Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live


roma-13roma-1roma-2
Mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’  akifanya yake Mkesha wa Mwaka Mpya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakheem jijini Dar kwenye shoo ya  Nichane Nikuchane.
roma-3
R.O.M.A Mkatoliki akiwarusha mashabiki wake.
roma-5roma-6
…Akiendelea kuchana mistari kama kawaida yake.
roma-11
Mashabiki wakimshangilia ‘R.O.M.A Mkatoliki’.
roma-7roma-8roma-9
Roma akikamua ngoma ya Viva Roma.
roma-10  Makamuzi yakiendelea.
roma-12 roma-14roma-15roma-16roma-17roma-18
Palikuwa hapatoshi Dar Live   roma-21roma-22
Mashabiki wakiwa wamepagawa na mistari ya R.O.M.A Mkatoliki.
Mkesha wa Mwaka Mpya ulikuwa wa kipekee kwa mashabiki waliofurika kwenye Shoo ya Chana Nikuchane, iliyoikutanisha miamba miwili ya Hip Hop Bongo, R.O.M.A Mkatoliki na Darassa wakisindikizwa na Msaga Sumu, Jahazi Modern Taarab, Pam D, Makhirikhiri wa Bongo na wasanii wengine kibao.
Shoo ilianza kwa wasanii kadhaa chipukizi kuonesha uwezo wao, wakafuatia Makhirikhiri wa Bongo, akaja Pam D aliyefuatiwa na Jahazi Modern Taarab, ikafika zamu ya utamu wenyewe ambao Darassa ndiye aliyeanza kupanda, akawapagawisha kinoma mashabiki kwa ngoma yake ya Muziki ambayo alilazimika kuirudia mara nne jukwaani, mwisho R.O.M.A akamaliza kazi.
Palikuwa hapatoshi Dar Live, picha nyingine zitaendelea kukujia hapahapa.
PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA/GPL
Post a Comment