: Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Prof. Makame Mbarawa akikagua sehemu ya kuhifadhia mizigo ya abiria
kilivyoteketea kwa moto usiku wa kuamkia
leo( jana) katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere ,kulia
ni Mkurugenzi wa Uwanja huo Bw. Paul Rwegasha. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
: Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha
Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Bw. Paul Rwegasha akimuonesha Waziri wa
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa chumba cha kuhifadhia
mizigo ya abiria kilivyoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo (jana). (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo).
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.
Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya
kukagua chumba cha kuhifadhia abiria kilichoteketea kwa moto usiku wa kuamkia
leo (jana),wa kwanza kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi Bw. Gabriel
Migire. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo).
Comments