LOWASSA KUSHUHUDIA MTANANGE WA YANGA, SIMBA

Waziri mkuu wa Zamani na Mjumbe wa kamati Kuu ya chadema Edward Lowassa leo atakuwa miongoni mwa maelfu ya washabiki watakaoudhuria pambano la watani wa jadi Simba na Yanga kwenye dimba la Taifa jijini dars es salaam.

"Kesho(leo) na kwenda  uwanjani,usitake kujua mimi ni mshabiki wa timu gani,subiri utaniona  uwanjani" amesema Lowassa ambaye hajawai kuweka wazi ni mshabiki wa timu gani, zaidi ya kusema anaipenda Manchester United.

Lowassa amesema kinachomsukuma zaidi kwenda uwanjani ni kuungana na Wada's Wa soka nchini kutaka kuiona ligi ya mpira tanzania inakuwa na msisimko Kama ile wa ligi za nje.

"nasikitika napoona watu tunazipenda sana timu za nje..Yale mahaba ya zamani kwa timu zetu yako wapi?michezo hususan mpira ni eneo pana sana la ajira kwa vijana wetu" alisema Lowassa ambaye alikuwa mchezaji mazuri wa mpira wa kikapu hapo zamani.


                Mwisho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.