NAPE KUNENA YA MOYONI NA WANAHABARI SAA NANE DAR

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari katika Hoteli ya Protea Oysterbay Dar es Salaam.

Rais John Magufuli, leo amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, kwa kumtosa Nape na wizara hiyo kumpatia Dk. Harrison Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria nafasi ambayo imechukuliwa na 


Nape jana amepokea ripoti ya Kamati aliyoiunda ya kuchunguza uvamizi wa Makonda katika Kituo cha Clouds Media Group, ambapo aliahidi kuiwasilisha kwa wakubwa wake,  ambao ni Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.