SAMATTA AWA KINARA AIFUNGIA STARS MABAO 2-0 DHIDI YA BOTSWANA

 Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mchezaji wa Kimataifa wa wa Timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta akishangilia pamoja na mchezaji mwenzie anayechezea timu ya Deportivo Tenerife ya Hispania Farid Mussa wakati wa mechi ya kirafiki ya kimataifa  dhidi ya timu ya Taifa ya Botswana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Samatta alifunga mabao yote mawili. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Samatta akimtoka mchezaji wa Botswana
 Kukuru kakara za kuwania mpira

 Samatta akishangilia usindi
 mashabiki wakishangilia ushindi wa Taifa Stars
 Smatta akiandamwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.