Jinsi ya Kufanikisha biashara yako




Ili biashara ifanikiwe ni lazima zitu vingingatiwe ni lazima use mtu wa aina hii ndani  ya biashara yako ili uweze kuwavutia wateja kwa sababu bila wateja biashara yako lazima itakufa wewe kama wewe ili kuikuza biashara yako zingatia hivi utaona mafanikio.

Unatakiwa kuwa MTU wa watu autakiwi mda wote uwe serious mda mwingne kuwa mcheshi ili wateja wawe na hamu ya kuja tena biashara ni maongezi ni lazima uwe unajua kuongea na wateja wako lazima wateja wako wawe kama wafalme ahudumie vizuri ili wawe wateja wako waheshimu ata yule mteja wa vitu vidogo vidogo ni lazima umpe heshima take ndipo na yeye ata kupa heshima ya kuna kwako kila Mara anapohitaji huduma yako hili ni lazima liwe akilini mwako ni lazima ujue kuwa biashara nzuri ni maelewano mazuri kati ya mteja na mhudumu aiwezekana kama mmegombana na mteja alafu awe anakuja kwako ni lazima atakukimbia kwahiyo la muhimu ni lazima ujenge uhusiano Mzuri ili wazidikuwa wateja wako uadui ni mwanzo wa kuiua biashara yako ni lazima ujenge umoja wewe pamoja na wateja wako pamoja na watu wengine wanaofanya biashara kama yako ili uweze kufanya biashara kwa mafanikio usiwe wewe kama wewe kwani utapunguza ufanisi wa biashara yako.

          Jinsi ya kuwa muuzaji mkubwa

Ili uwe muuzaji mkubwa ni lazima uwe uko imara katika biashara yako ni lazima uuze kila kitu kinachoendana na biashara yako hii itakusaidia kupata wateja wengi usiwe unafanya biashara ya vile vitu vyenye thamani mkubwa tuu hapana Fanya biashara ya vitu vyote ata vile vyenye thamani kidogo ili kuwa na wateja wengi hii itakusaidia kuongeza wateja katika biashara yako kwani wale wanaokuja kwako watakuwa wanajua ni vitu gani unavyo na hao hao watarudi kununua vyenye thamani kwa hiyo la muhimu ni kufanya biashara ya vitu vingi vinavyoendana na biashara yako kama ni duka la vitu vya kula hakikisha kila kitu unacho kama ni spears akikisha kila kifaa cha gari unacho ili kufanikisha biashara yako Na kuipeleka katika nafasi nyingine ya juu zaidi na kuonekana tofauti na wapinzani wako wafanyao biashara kama yako ni lazima ujijenge kibiashara kwa kupanua biashara yako biashara yako kama unataka iendelee ni lazima uifanye kuwa kubwa.

     Ukifanya mambo ya kawaida utaishi                  maisha kawaida

                            Lakini

     Ukiwa mtu wa tofauti katika jamii
          Utaishi maisha ya mafanikio

Siongelei uwe mtu wa tofauti kwa kufanya mambo ya ajabu Bali kwa kufanya mambo ya tofauti yenye tija katika maisha yako.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.