Naibu Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akipitia taarifa ya Mradi
wa Ujenzi wa barabara ya Mafinga –Igawa sehemu ya Mafinga –Nyigo KM 74.1 Mkoani
Iringa mara baada ya kukagu mradi huo kulia ni Meneja Mradi huo Richarad Guo
akisisitiza jambo.
Naibu Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akipata maelezo kutoka kwa
Meneja Mradi wa ujenzi wa barabara ya Mafinga –Igawa sehemu ya Mafinga –Nyigo
KM 74.1 Richarad Guo alipokagua ujenzi huo Mkoani Iringa.
Muonekano wa
barabara ya Mafinga –Igawa sehemu ya Mafinga –Nyigo KM 74.1 ambapo tayari
Kilomita 18 zimekamilika kwa kiwango cha lami, ujenzi huo unafanywa na kampuni
ya China Civil Engenering Construction Corporation (CCECC).
Mafundi
wanaojenga barabara ya Mafinga-Igawa
sehemu ya Mafinga –Nyigo KM 74.1 Mkoani Iringa wakiendelea na ujenzi wa
karavati kubwa katika eneo chepechepe maarufu Majinja wilayani Mufindi.
Muonekano wa
Mtambo wa kusaga kokoto pamoja na shehena ya kokoto zinazotumika katika ujenzi
wa barabara ya Mafinga –Igawa.
Comments