BULEMBO ATINGA MKOANI KIGOMA LEO KATIKA KUENDELEA NA ZIARA YAKE YA KICHAMA MIKOANI Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdalla Bulembo akiagana na na baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya la Kaliua mkoani Tabora, kabla ya ya kuanza safari kutoka katika Wilaya hiyo kwenda mkoani Kigoma, leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdalla Bulembo akiwaunga mkono wafanyabiashara ya mihogo ya kuchemsha, aliposimama kwa mda kwenye mpaka wa wilaya ya Kaliua na Uvinza akiwa njiani kwenda mkoani Kigoma leo. Mihogo hiyo alinnua kwa ajili ya baadhi ya walioko kweye msafara wake ambao hawakufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdalla Bulembo na baadhi ya maofisa wa Chama na Waandishi wa habari walioko kwenye msafara wake wakiwa kwenye Daraja la Kikwete lililopo Mto Maragarasi Wilayani Uvinza, waliposhuka kwenye magari kwa muda, wakati msafara ukielekea Kigoma mjini leo 

 Maofisa wa Chama na baadhi ya waandishi wa habari akiwakwenye daraja hilo
 Wengine wakipozi picha kwenye daraja hilo 
 Bulembo akiwa na Mwandishi wa TBC na wa Radio Uhuru kwenye daraja hilo
 Mwandishi wa Star Tv Abdallah Tilata akipota kwenyedaraja hilo
 Bulebo akiwa na baadhi ya waandishi kwenye daraja hilo
Dereva kwenye msafara wa Ndugu Bulembo, Ndugu Benny akiwa kazini wakati msafara ukienda Kigoma
  
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiaya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kigoma, waliompokea katika eneola Uvinza, leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiaya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Chumvi inayomilikiwa na Jumuia hyo, wakati wa mapokezi yake katika eneo la Uvinza wakati akienda Kigoma mjini, leo
 Akimsalimia Mkuu wa shule hiyo Edson Baragula
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiaya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akiwa katika picha ya kumbukumbu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Chumvi inayomilikiwa na Jumuia ya Wazazi Tanzania, wakati wa mapokezi yake katika eneo la Uvinza leo akiwa njiani kwenda Kigoma mjini. PICHA: BASHIR NKOROMO
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

PADRI AUGUSTINO RAMADHANI AONGOZA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MKE WA PROFESA SHABA DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI