4x4

Hekaheka ya mwanamke aliyeiba mtoto na kumbadilisha jina

Baada ya June 6, 2017 kupitia Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM kuripotiwa taarifa ya mwanamke mmoja Shinyanga kumuiba mtoto na kumbadilisha jina..story mpya leo June 7, 2017 kupitia Hekaheka pia mlezi halisi wa mtoto huyo amepatikana.
Mwanamke huyo anadaiwa kumuiba mtoto kutoka Mwanza na kumbadilisha jina kutoka Pascazia hadi Maria lakini mlezi wake amepatikana ambaye alisafiri kutoka Mwanza hadi Shinyanga kumfuata mtoto huyo huku wengi wakiwa na mashaka wakidai zimetumika nguvu za kishirikina kumuhamisha kutoka Mwanza hadi Shinyanga.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full Story….

HEKAHEKA: Mwanamke adaiwa kuiba mtoto na kumbadilisha jina Shinyanga

Post a Comment