Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sasha, Wema, Masogange na Sanchoka nani Kuibuka Mshindi?


Mwanamitindo mwenye figa ya mvuto, Sasha Kas­sim (Namba yake ni 12).
Staa wa kupamba video za muziki wa Bongo Fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’. (Namba yake ni 23).
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu (Namba yake ni 18) .
Modo mwenye figa ya kuvutia nchini Bongo anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka (Namba yake ni 25).
WIKI hii imekuwa sapraiz baada ya mashabiki wengi wanaofuatilia ukurasa wetu wa FB kukata rufaa na kuomba muuza nyago huyu arudishwe kundini.
Sasa basi, washiriki waliopo kwa sasa ndiyo watakaoelekea katika fainali itakayofanyika Sikukuu ya Idd ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem.
Unavyodhani nani kati ya SashaWemaMasogange na Sanchoka ataibuka mshindi?
Jibu ni rahisi, chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia SMS kisha andika SHEPU acha nafasi ,andika namba ya mshiriki unayemtaka abaki na utume kwenda 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.
Bado tunaendelea kupokea wadhamini katika shindano hili. Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na mhariri kwa namba +255 713 133 633.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA