4x4

Manchester klabu tajiri zaidi duniani


Man U
Image captionManchester united timu yenye thamani kubwa duniani
Klabu ya Manchester United imetajwa kuwa ndio timu yenye thamani kubwa duniani kwa mujibu wa jarida la habari za biashara la Forbes
United inathamani ya kiasi cha pauni billion 2.86 hii ni mara ya kwanza kwa Man United kuongoza listi hiyo katika miaka mitano.
Barca wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, mabingwa wa ulaya Real Madrid wakoa katika nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.77.
Timu zinazofuata kwa thamani duniani
4) Bayern Munich - $2.71bn (£2.10bn)
5) Manchester City - $2.08bn (£1.61bn)
6) Arsenal - $1.93bn (£1.50bn)
7) Chelsea - $1.85bn (£1.43bn)
8) Liverpool - $1.49bn (£1.15bn)
9) Juventus - $1.26bn (£980m)
10) Tottenham - $1.06bn (£820m)

Mada zinazohusiana

Post a Comment