4x4

MIXManeno ya hasira ya Diamond Platnumz kwenye picha ya Zari


Sote tunajua Diamond Platnumz na Zari ni Wapenzi walioshibana na kwenye mapenzi yao wamefanikiwa kupata watoto wawili.
Kwenye saa 20 zilizopita kumekua na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya maji ambapo kwenye picha alizopost yeye alionekana mwenyewe lakini kuna nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume.
Diamond Platnumz
Mpenzi wake ambaye ni Diamond Platnumz amepost moja ya hizo picha zilizosambaa na kuandika yafuatayo >>> Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa
Tunaamini haya yatapita na amani itarejea…. bado tungependa kuwaona pamoja wakifurahia mapenzi yao
Post a Comment