4x4

WANAFUNZI WA SHULE YA FEZA WASHINDA MEDALI ZA DHAHABU MAREKANI

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Feza wakiwa na furaha baada kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympian yaliyofanyika hivi karibuni nchini Marekani. Kutoka kushoto ni Abdulrazak Juma  Nkamia, Rashid Jakaya Kikwete na Abdallah Rubeya Alsaedy.
 Wakiwa na bendera ya Taifa
Wakiwa pamoja na wanafunzi wenzao waliopata medali
Post a Comment