Preview YouTube video Norway Kuendelea Kushirikiana na Tanzania
Preview YouTube video Marufuku Kuuza Mahindi Njombe
Preview YouTube video Miswada Mitatu Ya Ulinzi wa Rasilimali
Preview YouTube video Rufiji Mkoa Mpya Kipolisi
Preview YouTube video Meneja wa TEDAP Asimamishwa Kazi
Preview YouTube video TCRA Wawajia Juu Wamiliki Mitandao Ya Simu
Preview YouTube video Benki Ya Dunia Yamwaga Bilioni 180 Elimu Bure
Preview YouTube video Kulipia Kodi Ya Jengo Mpaka Julai 15
Preview YouTube video Mamlaka za Ithibati na Uwekezaji
Preview YouTube video Bei za Mafuta Zashuka
Preview YouTube video Nidhamu Michezoni
Preview YouTube video Serikali Kusaidia Wanariadha
Preview YouTube video Kumbi za Starehe Kutozwa Kodi
Preview YouTube video Kanu Kupigana na Magonjwa Ya Moyo, Messi Mbioni Kuoa
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments