4x4

HAJIB ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO YANGA


Daktari wa tiba za Wanamichezo, Nassor Matuzya (kushoto) akimfanyia vipimo vya afya mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Hajib Migomba leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
Hajib hakutokea katika kundi la awali la wachezaji wa Yanga kufanyiwa vipimo kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya
Dk. Matuzya hapa anampima kiungo wa timu, Eammanuel Martin
Dk Matuzya hapa anampima kiungo mwingine wa timu hiyo, Geoffrey Mwashiuya 
Hapa Dk. Matuzya anazungumza na Nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub 'Cannavaro'
Post a Comment