4x4

WAZIRI MANYANYA AKABIDHI BENDERA KWA WANAFUNZI WABUNIFU WA ROBOTI WANAOKWENDA KUSHINDANA MAREKANI


 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya (Kulia) akionesha roboti iliyobuniwa na Wanafunzi wanaoenda kushiriki  mashindano ya kwanza ya Dunia kwa wanafunzi wanasayansi na wabunifu wa Roboti nchini Marekani hivi karibuni. (PICHA NA VENANCE NESTORY)
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya (Kulia) akikabidhi Bendera ya Taifa kwa Wanafunzi wanaoenda kushiriki  mashindano ya kwanza ya Dunia kwa wanafunzi wanasayansi na wabunifu wa Roboti nchini Marekani hivi karibuni. (PICHA NA VENANCE NESTORY
Post a Comment