Preview YouTube video Maswali Kuhusu Huduma Ya Maji Mkoani Mara
Preview YouTube video Ujenzi Wa Barabara Ya Kilindoni
Preview YouTube video Swali Kuhusu Mafunzo Kwa Walimu
Preview YouTube video Fahamu Kuhusu Deni La Serikali
Preview YouTube video Mswada Wa Mabadiliko Ya Sheria Mbalimbali Mwaka 2017
Preview YouTube video Hotuba Ya Msemaji Kambi Ya Upinzani
Preview YouTube video Mchango Wa Mbunge Riziki Mngwali
Preview YouTube video Hotuba Ya Waziri Mkuu Kuhusu Usalama Wa Nchi
Preview YouTube video Waziri Mkuu Akizungumzia Kuhusu Elimu Nchini
Preview YouTube video BMT Mkononi Mwa Waziri Mkuu
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments