4x4

MARAIS MAGUFULI NA MUSEVENI WAZINDUA KUANZA UJENZI BOMBA LA MAFUTA HOIMA HADI TANGA

Rais John Magufuli akishikana mkono na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Museveni baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishahji wa mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga, katika sherehe iliyofanyika viwanja vya Chongoleani, mkoani Tanga leo. (PICHA NA IKULU)
Post a Comment