4x4

MKEMIA MKUU WA SERIKALI KUTOA USHAHIDI KESI YA WEMA SEPETU MCHANA HUU

Msanii wa Filamu nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam , baada ya kesi yake kuahirishwa hadi mchana ambapo mkemia alitakiwa kutoa ushahidi wake dhidi ya kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili yeye na wafanyakazi wake wawili. (PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG)
Post a Comment