SPORTPESA YAANZISHA PROMOSHENI YA RAFIKI BONUS YA KUMZAWADIA MTEJA ANAYEMSHAWISHI RAFIKI KUCHEZA JACKPOT

 Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa  Kampuni ya Sportpesa, Tarimba Abbas akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu promosheni mpya ya mtambulishe  rafiki ya  Rafiki Bonus ambapo mtambulishaji atapatiwa sh. 2,000.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Na Richard Mwaikenda
 Kampuni ya SportPesa imeanzisha promosheni ya Mtambulishe Rafiki iitwayo Raifiki Bonus  ambapo mtambulishaji atakuwa anajipatia zawadi ya Sh. 2000.

Promosheni hiyo imetangazwa na Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa kampuni hiyo,  Tarimba Abbas  jana katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Oysterbay Dar es Salaam.
Abbas amesema kuwa Mteja wa SportPesa  ambaye tayari amekwisha jisajiri na kuanza 
kucheza anachotakiwa ni kumtambulisha rafiki yake ambaye akijisajiri na kuanza kucheza, 
aliyemtambulisha atajipatia bonus hiyo.

 "SportPesa imekuja na Bonus ya Rafiki ikiwa ni njia ya kurudisha fadhila kwa wateja wetu. 
Tunawafurahia wateja wetu, na tunajua kuwa wakiwa wakiwafundisha rafiki zao namna ya 
kubashiri hivyo basi, nao tumewawekea utaratibu wa kunufaika kwa namna hiyo," alisema Abbas.

Mteja mpya anatakiwa kutuma neno KUBALI kisha kuandika namba ya simu ya aliyemtambulisha 
katika jukwaa la kubashiri na kutakiwa kuweka ubashiri wake  angalau mara moja  katika michezo ya Jackpot.


 Abbas akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
 Wanahabari wakiwa kazini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.