4x4

TFF imetangaza kanuni nane zimefanyiwa mabadiliko na Bodi ya Ligi


Tukiwa tunaelekea kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18 Shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya Bodi ya Ligi leo afisa habari wa TFF Alfred Lucasametangaza mabadiliko ya kanuni nane ambazo zimefanyiwa mabadiliko baada ya kamati ya Bodi ya Ligi kukutana na viongozi wa vilabu.
>>>”Bodi ya Ligi ilikutana na club wiki iliyopita na ilipokutana na club kuna mapendekezo ya kanuni za Ligi Kuu Tanzania kwa haraka haraka kanuni zilizoguswa zaidi ni kanuni ya 18 inayohusu Bima kwa wachezaji, kila club inatakiwa kuwawekea Bima wachezaji wake la sivyo hawawezi kupata leseni.” – Alfred Lucas.

Post a Comment