AFANDE MAMBOSASA AONESHA SIRAHA ZILIZOKAMATWA KWENYE MSAKO DAR

 Kamanda wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akizungumza na waandishi wa habari jana alipokuwa akitoa taarifa za matukio mbalimbali yaliyotokea katika kanda hiyo. (PICHA NA VENANCE NESTORY)
 Kamanda wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akionesha moja ya siraha aina ya “Short Gun” wakati akizungumza na waandishi wa habari jana. Siraha hiyo ilikamatwa wakati wa doria hivi karibuni. (PICHA NA VENANCE NESTORY)

Kamanda wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akionesha siraha aina ya Bastola wakati akizungumza na waandishi wa habari jana. Siraha hizo zilikamatwa wakati wa doria ya Askari hivi karibuni. (PICHA NA VENANCE NESTORY)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.