Mugabe na mkewe wasusia sherehe ya kuapishwa kwa Mnangagwa


Rais Mugabe na mkewe Grace Mugabe walisusia sherehe ya kuapishwa kwa Emmerson Mnangagwa
Image captionRais Mugabe na mkewe Grace Mugabe walisusia sherehe ya kuapishwa kwa Emmerson Mnangagwa
Robert Mugabe na mkewe Grace walikosa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais Emmerson Mnangagwa baada ya wananiasa hao kukubaliana kwamba Mugabe anaweza kupumzika.
Sababu kuu ilioteolewa ni kwamba bwana Mugabe alikuwa amechoka.
Mugabe na mkewe Grace hawajaonekana hadharani tangu kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 93 kujiuzulu kama rais kufuatia shinikizo kutoka kwa jeshi na raia.
Hatua hiyo inajiri baada ya Mugabe na mkewe kufumta kazi rais huyo mpya wakati alipokuwa makamu wa rais kwa madai kwamba alikuwa akipanga njama za kutaka kumuondoa madarakani rais Mugabe
Aliyekuwa makamu wake wa rais Emmerson Mnangagwa amewataka raia wa Zimabwe kusalia watulivu na kuweka amani na kutolilipiza kisasi.
Umati mkuwa wa takriban raia 60,00 wa Zimbabwe wakiwemo viuongozi wa kimataifa na wanadplomasia walihudhuria sherehe ya kumuapisha Mnangagwa katika uwanja wa michezo wa mj9ini harare.
Upinzani umemtaka rais mpya kukabiliana na ufisadi.wakati rais Mugabe alipolazimishwa kuondoka madarakani siku ya Jumanne baada ya jeshi kuchukua mamlaka kulikuwa na sherehe matika maeneo tofauti ya taifa hilo.

Mada zinazohusiana

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI