Waka ya Diamond ft Rick Ross imevunja rekodi 2017


Muimbaji wa Bongofleva ambaye pia ni CEO wa record label ya WCB Diamond Platnumz kwa sasa anazichukua headlines katika bara la Afrika kwa wimbo wake wa Waka aliyomshirikisha rappa maarafu nchini Marekani Rick Ross kuvunja rekodi.
Wimbo huo wa Waka umevunja rekodi baada ya kuwa on trend kwenye mtandao wa youtube katika nchi saba mbalimbali za Afrika zikiwemo nchi   kama TanzaniaKenya, UgandaAfrika KusiniNigeriaZimbambwe na Ghana.
Diamond amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuscreen shot picha ya video yake ya Waka ikiwa on trend na kuandika “fanya kazi kwa bidii, sali sana, kuwa mnyenyekevu” inatajwa kuwa huu ndio wimbo wa kwanza wa Diamond Platnumz kuwa on trend katika nchi nyingi kuliko ngoma zake zilizopita kwa mwaka 2017.
Ulipitwa na hii ya Mama Diamond kafunguka ni kuhusu Diamond na Zari????

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.