RAIS MSTAAFU KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MWANAHABARI ATHUMAN HAMISI DAR

 Rais mstaafu Jakaya Kikwete, akishiriki maziko ya aliyekuwa Mpiga Picha wa Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari Leo, marehemu Athuman Hamis katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam leo. Wakati wa uhai wake Hamis aliwahi kuwa mpiga picha maalumu wa Mgombea urais wa CCM 2005, Jakaya Kikwete.
 Marehemu Athuman Hamisi wakati wa uhai wake
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mpiga Picha wa Magazeti ya Daily News na Habari Leo, marehemu Athuman Hamis ulipokuwa ukiingizwa nyumbani kwake kutoka kusaliwa katika Msikiti, Sinza, Dar es Salaam leo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 RC Makonda akisalimiana na aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa  Daily News, Gabriel Nderumaki (kushoto) pamoja na Mhariri Mtendaji wa sasa, Dk. Jim Yonazi alipowasili kwenye msiba huo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) akimfariji kakake na marehemu, Athuman Hamis wakati wa msiba Sinza.

 Waombolezaji ambao asilimia kubwa ni wanahabari wakiwa kwenye msiba wa mwanahabari mwenzao, Athuman Hamisi nyumbani kwa marehemu Sinza
 Mmiliki wa Blog hii, Richard Mwaikenda (kulia) akiwa na waandishi wa habari wenzake waliohudhuria msiba wa marehemu Athuman Hamis.
 Mmiliki wa Blog hii, Richard Mwaikenda (wa pili kulia) akiwa na waandishi wa habari wenzake waliohudhuria msiba wa marehemu Athuman Hamis.
 RC Makonda (katikati) akizungumza na Kaka ya marehemu, Athuman Hamis, Dk. Msengi (kushoto) pamoja na Mhariri Mtendaji wa Daily News, Dk. Jim Yonazi.

 .Mkuu wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Solomon Mwangamilo  akijadiliana jambo na Mpiga Picha za Habari,  Khalfan Said wakati wa msiba wa marehemu Athuman Hamis.
 Anicetus Mwessa (katikati) akijadilina jambo waandishi wa habari wenzie na Robert Hokororo (kushoto)  na Hamisi (kulia)
 RC Makonda akisalimiana na Benjamin Thomson 'Kasenyenda'
 Mkuu wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Solomon Mwangamilo akijadiliana jambo na Benjamin Thomson 'Kasenyenda' wakati wa msiba wa marehemu Athuman Hamis.

 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa na RC Makonda (katikati)  wakiwa katika shughuli ya msiba wa marehemu Hamis
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Rodney akitoa salamu za rambirambi kwa marehemu Hamisi, Sinza Dar es Salaam
Shughuli za maziko makaburi ya Kisutu
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU