WAZIRI WA MICHEZO MHE.MWAKYEMBE AMEUNDA KAMATI YA NGUMI ZA KULIPWA YA WATU 13


mwakyembe-310x165
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh Harrison Mwakyembe leo hii ameunda kamati ngumi za kulipwa ya watu kumi na Tatu kwa ajili ya kuhakikisha mchezo huo unasimama vizuri hapa nchini na kuondokana na migogoro inayoendelea katika mchezo huo.
kamati hiyo inajumlisha watu wafuatao:
Emmanuel Saleh, Habibu Kinyogoli, Shomari Kimbau, Jafari Ndame, Joe Anea, Fike Wilson, Anthony Ruta, Juma Ndambile, Ally B Champion, Rashid Matumla,Dk Killaga M Killa, Yahya Pori na Karama Nyilawila.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.