AJALI ILIYOMUUA MKURUGENZI WA WILAYA YA KONGWA

 Imekuwa Jumapili mbaya kwangu kusikia taarifa za kifo chako brother tena kilichotokea kwa ajali mbaya mno! Nimekumbuka mengi tuliyofanya pamoja enzi za Utumishi wako wizarani, baadae ukiwa msaidizi wa Prof Mwandosya na hatimae kuteuliwa kwako kuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Kongwa! Hakika umetimiza safari yako kaka! Upumzike salama na kwa Aman Eng. Ngusa Izengo! R.I.P🙏🏼 @dndejembi @ Dar es Salaam, Tanzania

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MBUNGE MOLLEL AITAKIA NAMAINGO MAFANIKIO MEMA 2019

JIONEE WAREMBO KUMI WA NGUVU AFRIKA MASHARIKI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

ANGALIA PICHA WADADA HAWA WALIVYOPIGWA