MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA


 KISIWA CHA MIGINGO


Kisiwa cha  Migingo kilichopo ziwa Victoria chenye ukubwa wa nusu ya uwanja wa mpira ile sehemu ya kuchezea(Pitch) . kisiwa hiki kidogo cha ufugaji kina zaidi ya watu 500. Ndo kisiwa kidogo kuliko vyote Afrika.


Kisiwa hiki cha mawe chenye miundo mbinu mibovu , kina bar nyingi, na kumbi za wazi za anasa.


Kabla kisiwa hiki kujaa watu kilikiwa kinakaliwa na wazee wawili tu. Pia kisiwa icho kilijaa ndege na nyoka wa kutosha.


Kisiwa hiki kinapatikana nchini Kenya. πŸ‡°πŸ‡ͺ


Awali ya yote kisiwa hiki kilikuwa na mgogoro mkubwa sana kwani Uganda nao walisema ni chao huku kenya nao wakisema ni cha kwao.


Maafisa wa uganda na kenya walitumia muda mrefu kupima mipaka hata kutumia mipak ya wakoloni ndipo wakapaya jibu.


Hatimaye mwaka 2009 Rais Museveni wa Uganda akatangaza rasmi kuwa kisiwa hiki ni mali ya ardhi ya kenya.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI