DKT NCHIMBI: MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR YALILETA UTU NA KUWEKA WATU WOTE SAWA MBELE YA SHERIA

>

*VIDEO: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akizungumzia umuhimu wa kuyalinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, 1964, akisisitiza “yalileta utu na kuweka watu wote sawa mbele ya sheria,” wakati akizungumza na Wazee wa Zanzibar, kwenye ziara yake ya siku mbili, Pemba na Unguja.*

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI