"Nafurahi tumetinga hatua Inayo fuata Tukiwa vinara wa kundi sasa tunaenda kufanya makubwa lengo letu ni kutetea Ubingwa wa CAF Champions League"
Kocha wa Al Ahly Sporting Club Marcel Koller amewapa Maua Yao Yanga kwamba hii ni Moja ya timu Bora na ngumu ambayo amecheza nayo tangu atue hapa Afrika π .
Kocha huyu amesema @yangasc watafanya makubwa katika michuano hii Kwa sababu Wana wachezaji ambao wenye kiu ya kutaka kufika mbali zaidi.
πΆπKocha wa AHLY kaelewa show Mimi nani nipinge huku mwituni ππΆ #yanga #yangasc #YallaYaAhly
Comments