MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI -* *MAKABIDHIANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA YAFANYIKA KIJIJINI KWIKUBA*






 Kata za Busambara (vijiji: Kwikuba, Maneke na Mwiringo) na Kiriba (vijiji: Bwai Kumsoma, Bwai Kwitururu na Kiriba) zimeshuhudia Mkataba wa kusambaziwa maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria ukitiwa saini Kijijini Kwikuba.


Makabiadhiano hayo kati ya *RUWASA na MKANDARASI (Otonde Construction & General Supplies Ltd)* yalifanyika siku ya Jumatano asubuhi, 20.3.2024.


Walioshuhudia utiaji wa saini za Mkataba huo ni: wananchi kutoka Kata hizo mbili, viongozi kadhaa wa Chama (CCM) na Serikali, DAS Wilaya ya Musoma, na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini.


RUWASA inasifiwa sana kwa kufanya kazi nzuri Musoma Vijijini - hongereni sana RUWASA!


*Gharama za Mradi huu:*

Jumla ni: Tsh 4.42

Kazi za awali zitatumia: Tsh 1.44


Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.


Ofisi ya Mbunge 

Jimbo la Musoma Vijijini 

www.musomavijijini.or.tz 


Tarehe:

Jumanne, 26.3.2024

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI