MSAUZI KUAMUA MTANANGE WA SIMBA VS AL AHLY


 MWAMUZI Abongile Tom ameteuliwa kusimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Mabingwa watetezi wa CAFCL, Al Ahly ya Misri.


Tom (32) raia wa Afrika Kusini atakuwa katikati ya dimba la Benjamin Mkapa kwenye mchezo huo wa Mkondo wa kwanza robo fainali utakaochezwa Ijumaa Machi 29, majira ya saa 3:00 usiku.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI